SAMATTA AINGIA NA KUISAIDIA GENK KUPATA SARE YA UGENINI - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, February 18, 2018

SAMATTA AINGIA NA KUISAIDIA GENK KUPATA SARE YA UGENINI

HABARI KUU




Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena uwanjani safari hii akiingia na kuisaidia timu yake kupata sare ya mabao 2-2 ikiwa ugenini Club Brugge.

Samatta aliingia katika dakika ya 74 kuchukua nafasi ya Karelis ambaye alifunga bao moja na kukosa penalti na wakati huo Genk ikiwa nyuma kwa bao moja.

Purukushani zake zilichangia presha upande wa wenyeji na mwisho wakapata penalti.

Samatta amekuwa katika wakati mgumu baada ya kuumia zaidi ya mwezi na ushee uliopita.


Taratibu amekuwa akirejea katika kiwango chake huku mechi zote akiwa anaingia.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI