Balozi wa Cuba Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Kamishna Jeneral wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, February 02, 2018

Balozi wa Cuba Nchini Akutana na Kufanya Mazungumzo na Kamishna Jeneral wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

HABARI KUU

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akisalimiana na Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye aliyeketi (mbele) akisoma taarifa na changamoto zinazolikabili Jeshi hilo Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali mapema
Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades akizungumza jambo wakati mazungumzo yao na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (kushoto), Viongozi Waandamizi wa Jeshi hilo hawapo pichani na Katibu wa Balozi na Mkalima, Sultan Hamud Said (Kulia) Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam. Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akiwa katika picha na Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam wengine ni Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Michael Shija wanne kutoka (kulia), Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage wa kwanza (kulia) na Kamishna wa Usalama Dhidi ya Moto, Jesuald Ikonko wa tano kutoka (kulia). Balozi huyo wa Cuba alifika Makao Makuu ya Jeshi hilo kwa ajili ya kufanya mazungumzo na Kamishna Jenerali. 
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye akiagana na Balozi wa Cuba hapa nchini, Profesa Lucas Domingo Hernades Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza mazungumzo yao mapema leo asubuhi tarehe 01/02/2018
(Picha na Jeshi la Zimamoto Na Uokoaji)

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA - JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI