Younger Islander yatoka sare na Dogomoro ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, January 29, 2018

Younger Islander yatoka sare na Dogomoro ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba

HABARI KUU
 KEPTENI wa Timu ya Younger Islander Nassor Aduni akijaribu kumdhibiti mchezaji wa timu ya Dogomoro Hamad Ali Hamad, wakati wa mchezo waligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, mchezo uliopigwa katika uwanja wa Gombani, matokeo ya mchezo huo 0-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
 MCHEZAJI wa Timu ya Younger Islander Ali Seif Ali akipiga mpira mbele ya wachezaji wawili wa Timu ya Dogomoro, wakati wa mchezo wa ligi kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, mchezo uliopigwa katika uwanja wa michezo Gombani, matokeo ya mchezo huo 0-0.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
KEPTENI wa Timu ya Younger Islander Nassor Aduni, akimkwatua mchezaji wa timu ya Dogomoro Hamad Ali Hamad, wakati wa mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar kanda ya Pemba, Mchezo uliopigwa katika uwanja wa michezo Gombani, matokeo ya mchezo huo 0-0.

 (PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI