Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionSully akiwa katika chumba ulimokuwa mwili wa marehemu George HW Bush katika makao makuu ya Bunge la Marekani
Mbwa aliyekuwa amepewa kazi ya kuwa msaidizi wa rais wa zamani wa Marekani George HW Bush amepigwa picha akionekana kuomboleza karibu na jeneza la kiongozi huyo.
Bw Bush, aliyehudumu kama rais wa 41 wa Marekani kati ya mwaka 1989 na 1993 alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa na miaka 94.
Sully, mbwa wa jamii ya golden labrador, alisafiri pamoja na mwili wa marehemu kwenye ndege kutoka Texas kwenda Washington DC siku ya Jumatatu.
Jeneza lenye mwili wake lilisafirishwa kwa ndege kutoka Texas kwenda DC kwa ndege ya Air Force One - ambayo kwa muda ilipewa jina Special Air Mission 41, kwa heshima ya rais huyo.
Mwili huo ulirejeshwa Texas Jumatano.
Haki miliki ya pichaOFFICE OF GEORGE HW BUSHImage captionPicha ya kwanza ya Mbwa Sully akiwa amelala karibu na jeneza lenye mwili wa George HW Bush iliyowagusa wengi
Mbwa huyo wa jina Sully alisindikiza jeneza hilo muda wote.
Picha ya kwanza kabisa ya Sully akitoa heshima zake ilipakiwa mtandaoni na msemaji wa Bw Bush Jim McGrath, pamoja na ujumbe: "Mission complete."
Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionSully alisafiri na Air Force One iliyoubeba mwili wa marehemu kwenda Washington Jumatatu
Watu katika mitandao ya kijamii wamekuwa wakimshukuru Sully kwa huduma zake, na kwa kawaida kuzungumzia uaminifu wa mbwa kwa wamiliki wao.
Haki miliki ya pichaAFP/GETTYImage captionAlirejea vivyo hivyo Texas Jumatano
KARIBU WA FIKIE WATEJA WAKO KWA KUTANGAZA NASI. HAPA 0777 178 520 ,0623 964 800, 0676 612 602 KAR. Powered by Blogger.
MASHABIKI RUKSA AZAM FC v PYRAMIDS FC KESHO
-
KUELEKEA mchezo wa kesho wa Kombe la Shirikisho unaotarajiwa kuchezwa
Uwanja wa AzM Complex kati ya Azam FC v Pyramids ya Misri mashabiki ruksa
kuutazam...
HABARI KUU Shabiki wa Yanga, Ridhiwani Kikwete, amehusishwa kugombea nafasi ya uongozi wa Uenyekiti ndani ya klabu hiyo ambao umeagi...
QUEEN DARLEEN' AMEKUJA NA MEPYA KUHUSU WASAFI FESTIVAL
Msanii wa muziki Tanzania kutokea lebo ya WCB Queen Darleen amefunguka kwa kudai kwamba mtu ambae anauchukia ujio wa Wasafi festival ni mnyonyaji kwani anataka aendelee kutawala yeye kwenye biashara hiyoo.
kwa habari na matokio ni othu tv
HABARI KUU
sherehe
othu tv tunawakilisha
facebook
www.facebook.com
Step 3: Place this code wherever you want the plugin to appear on your page.