Bonaza la Benki ya Watu wa Zanzibar Mchezo wa Mpira wa Ufukweni Wafutia Wengi Katika Ufukwe wa Pwani ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, November 04, 2018

Bonaza la Benki ya Watu wa Zanzibar Mchezo wa Mpira wa Ufukweni Wafutia Wengi Katika Ufukwe wa Pwani ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.

HABARI KUU
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Juma Ameir Hafidh mwenye katikati akishiriki katika mchezo wa Mpira wa Ufukweni katika Bonaza la Pili la PBZ 2018,lililowashirikisha Wafanyakazi wa PBZ katika viwanja vya Ufukwe wa Hoteli ya Kendwa Rocks Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited (PBZ) walioshiriki mchezo wa mpira wa ufukweni wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuaza mchezo huo uliokuwa na Timu mbili ya Red na Yellow. 




























Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI