KIKOSI CHA YANGA CHATUA SALAMA DAR - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Tuesday, May 08, 2018

demo-image

KIKOSI CHA YANGA CHATUA SALAMA DAR

Responsive Ads Here
HABARI KUU
Yanga+Caf


Kikosi cha Yanga kimewasili salama jijini Dar es Salaam kikitokea Algeria kushiriki mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya USM Alger.

Yanga imerejea nchini baada ya kupoteza mchezo huo wa hatua ya kwanza katika makundi kwa jumla ya mabao 4-0.

Baada ya kuwasili Dar es Salaam leo, Yanga itaondoka kuelekea Mbeya kesho kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons.

Tanzania Prisons itakuwa inawakaribisha Yanga jijini Mbeya ambapo mchezo huo utapigwa kwenye Uwanja wa Sokoine Alhamis ya keshokutwa kuanzia majira ya saa 10 jioni.

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *