HABARI KUUMkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud Akabidhiwa Ripoti ya Maendeleo ya Elimu ya Mkoa wa Mjini Magharibi na Ripoti ya Muelekeo wa Mkakati wa Elimu Kwa Mkoa wa Mjini Magharibi 2018/2019. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Sunday, August 26, 2018

demo-image

HABARI KUUMkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud Akabidhiwa Ripoti ya Maendeleo ya Elimu ya Mkoa wa Mjini Magharibi na Ripoti ya Muelekeo wa Mkakati wa Elimu Kwa Mkoa wa Mjini Magharibi 2018/2019.

Responsive Ads Here
DSC_0458
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizindua Ripoti ya Kamati ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja baada ya kukabidhiwa ripoti hiyo kushoto Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg.Juma Abdallah Hamad, hafla hiyo imefanyika Ofisi za Mkoa Vuga Zanzibar
DSC_0466
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akimpongeza Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,Ndg.Juma Abdallah Hamad,baada ya kuizindua, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Afisi ya Mkuu wa Mkoa Vuga Unguja.
DSC_0473
 MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akionesha Ripoti ya Kamati ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja baada ya kukabidhiwa ripoti hiyo kushoto Afisa Tawala wa Mkoa wa Mjini Magharibi Bi. Hamida Mussa Khamis na kushoto Mwenyekiti wa Kamati hiyo Ndg.Juma Abdallah Hamad, hafla hiyo imefanyika Ofisi za Mkoa Vuga Zanzibar
DSC_0474

DSC_0480

DSC_0516
 MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akizungumza na kutowa shukrani zake kwa Kamati ya Maendeleo ya kuimarisha Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi, kwa kazi nzuri na kupokea matokeo mazuri kwa Wanafunzi wa Kidatu cha Sita katika ufaulo wao katika Mtihani wa Taifa uliofanyika mwaka 
DSC_0505
 WAJUMBE  wa Kamati ya Maendeleo ya Elimu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa Taarifa ya Ripoti ya Kamati hiyo, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa Vuga Zanzibar
DSC_0524

DSC_0542


Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *