YANGA AFRICANS YAIPA MWADUI KIPIGO KITAKATIFU CHA 2-1 - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, November 22, 2018

YANGA AFRICANS YAIPA MWADUI KIPIGO KITAKATIFU CHA 2-1

Mshambuliaji  wa kikosi cha Yanga africans Heritier Makambo ameiyandikia timu yake goli la kwanza dakika ya 10, na kufuatia goli la pili na la ushindi lililoekwa kimiyani na Mchezaji Mrisho Halfani Ngassa dakika ya 58, kwa kutokana na uzembe wa mabeki eneo la 18, na goli la la Mwadui limefungwa na mchezaji Salim Aiyee dakika ya 40.

Kwa ushindi huo basi Yanga wanaendeleza recod yao ya kutopoteza mchezo wowote mpaka sasa.



Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI