Ligi ya Mabingwa barani Ulaya: Mechi za makundi kadhaa zilipigwa jana - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 28, 2018

Ligi ya Mabingwa barani Ulaya: Mechi za makundi kadhaa zilipigwa jana

Ligi ya mabingwa barani ulaya imeendelea jana kwa michezo kadhaa ya makundi, kundi E, AEK Athens imekubali kipigo cha bao 2-0 toka kwa Ajax. Nayo FC Bayern Munchen ikiifyatua Benfica kwa jumla ya mabao 5-1. Kundi F, Hoffenheim imefungwa 3-2 na Shakhtar Donetsk, huku Lyon ikiilazimisha Manchester City sare ya 2-2. CSKA Moscow imalala kwa goli 2-1 dhidi ya Victoria Plzen, huku Real Madrid ikiitungua AC Roma 2-0 katika michezo wa kundi G. matokeo ya kundi H, Juventus imeilaza Valencia kwa ushindi mdogo wa goli 1-0, nayo Manchester United imeifunga Young Boy goli 1-0.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI