MFARANSA APIGA "AL BADIRI" YA KIKOSI, AMTUPA NJE MAVUGO SIMBA IKIPAA KWENDA DJIBOUTI - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, February 18, 2018

MFARANSA APIGA "AL BADIRI" YA KIKOSI, AMTUPA NJE MAVUGO SIMBA IKIPAA KWENDA DJIBOUTI

HABARI KUU

Kikosi cha Simba kinaondoka leo kwenda Djibouti kwa ajili ya mechi ya ya keshokutwa Jumanne.

Kocha Pierre Lechantre ameamua kumuacha mshambuliaji wake Laudit Mavugo kutokana na kuonekana hana msaada.

Ingawa hajaweka wazi, lakini Lechantre raia wa Ufaransa ameamua kusafiri na kinda Moses Kitandu huku akimuacha mshambuliaji huyo wa kimataifa.

Katika listi iliyotolewa inaonekana hakuna jina la Mavugo.

Wanaoondoka leo mchana:
Aishi Manula, Emmanuel, Erasto Nyoni, Mohamed Zimbwe, Asante Kwasi, Ally Shomari, Shomari Kapombe, Yusuf Mlipili, Bukaba, Juuko Murshid, James Kotei, Jonas Mkude, Muzamiru Yassin, Shiza Kichuya, Said Ndemla, Nicholas Gyan, Mwinyi Kazimoto, Moses Kitandu, Emmanuel Okwi na John Bocco.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI