MANE ASAINI MKATABA MPYA KATIKA KLABU YAKE YA LIVERPOOL - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, November 23, 2018

MANE ASAINI MKATABA MPYA KATIKA KLABU YAKE YA LIVERPOOL

Mshambuliaji wa Kimataifa wa Senegali na pia timu ya liverpool Sadio Mane, Amesaini mkataba mpya wa miaka 5 , na kuendelea kuitumikia klabu yake hiyo ya liverpool hadi 2023,

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26, alijiunga na liverpool akitokea katika klabu ya Southmpton kwa mkataba wa miaka 5, mnamo Juni,2016 kwa thamani ya £34.


Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI