MBWANA SAMATA AMEKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI SASA. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, November 22, 2018

MBWANA SAMATA AMEKUWA MOTO WA KUOTEA MBALI SASA.

Taarifa kutoka timu ya KRC GENK kuwa, wamepokea Maombi ya mazungumzo na uwongozi wa klabu ya Borussia Dortmund, juu ya Mshambuliaji Mtanzania Mbwana samatta, huku klabu hiyo ikionyesha nia ya kuweka OFA ya £10m, na dili hilo lifanyike kupitia dirisha dogo mwezi january,

Hata hivyo ziko taarifa za chini chini zikieleza kuwa klabu ya Napoli nayo ipo njiani kuanza mazungumzo na KRC GENK juu ya mshambuliaji mtanzania Mbwana Samatta.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI