Ziara ya Makamishna wa kamisheni ya Utalii kisiwani Pemba - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 21, 2018

Ziara ya Makamishna wa kamisheni ya Utalii kisiwani Pemba

HABARI KUU
 MKUU wa Wilaya ya Wete Abeid Juma Ali, akitoa historia fupi ya Utalii kwa Wilaya ya Wete na Micheweni, wakati wa ziara ya Makamishna wa kamisheni ya Utalii Zanzibar, huko katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
 KATIBU Tawala Mkoa wa Kaskazini Pemba, Ahmed Khalid Abdalla akizungumza katika kikao cha pamoja na Makamishna wa kamisheni ya Utalii Zanzibar, huko katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba
 MSHAURI wa Rais Pemba Dk Mauwa Abeid Daftari, akizungumza katika kikao cha Pamoja na Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, huko katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba.
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman akizungumza na Makamishna wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, wakati makamishna hao walipofika katika ofisi hiyo kujitambulisha kwake na kuzan ziara yao ya siku mbili Kisiwani Pemba.

 KATIBU mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar Dk Vuai Iddi Lila, akiwasilisha mapendekezo na michango ya Kamisheni ya Utalii, kwa Viongozi wa Serikali ya Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati makamishna wa kamisheni ya utalii Zanzibar walipofanya ziara mkoa huo.
MWENYEKITI wa kamisheni ya Utalii Zanzibar Sihaaba Saleh, akizungumza katika kikao cha pamoja na makamishna wa kamisheni ya utalii Zanzibar na uongozi wa serikali ya mkoa wa kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya siku mbili kwa makamishna wa kamisheni hiyo

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI