SALAH' APOKEA TUNZO YAKE YA NANE TOKA AJIUNGE NA LIVERPOOL. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, November 23, 2018

SALAH' APOKEA TUNZO YAKE YA NANE TOKA AJIUNGE NA LIVERPOOL.

Mshambuliaji wa klabu ya liverpool Mo Salah amepokea tunzo ya mchezaji bora wa mwezi wa kumi (October),

 katika mwezi wa 10 Salah alicheza mechi 5 za liverpool na kufanikiwa kufunga magoli 4 na kutoa Assists 2 ,

 Hii ni tunzo yake ya nane kushinda ndani ya liverpool kama mchezaji bora wa mwezi tangu ajiunge na klabu hiyo akitokea klabu ya ROMA. 

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI