AZAM FC YAONDOKA NA USHINDI MNONO DHIDI YA RUVU SHOOTING. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, November 22, 2018

AZAM FC YAONDOKA NA USHINDI MNONO DHIDI YA RUVU SHOOTING.


Mpira umemalizika katika uwanja wa Azam Complex chamanz, Na Azam wanaondoka na ushindi wa mabao 2-1, Goli la kwanza kwa upande wa Azam limefungwa na Ramdhani Singano dakika ya 11' na goli la pili na la ushindi limetiwa nyavuni na mchezaji Tafadzwa kutinyu katika dakika ya 66' ya mchezo, na kwa upande wa Ruvu shooting goli limefungwa na mchezaji said dilunga katika dakika ya 26 ya mchezo huo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI