'CHELSEA FURAHA KWA KANTE KWA KUSAINI MKATABA MPYA' - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 24, 2018

'CHELSEA FURAHA KWA KANTE KWA KUSAINI MKATABA MPYA'

Imeripotiwa kuwa viongozi wa chelsea pamoja na wadau wa karibu wa klabu hiyo, wamefurahishwa sana na uwamuzi wa kiungo wa chelsea N'golo kante kuendelea kusalia klabuni hapo kwa takribani miaka 5 hadi mwaka 2023,

Pia kocha Maurizio sarri aliweza kumshauri kante kuwa kwa muda huu abaki tu apo chelsea na kama anamipango mipya iyanze baadae.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI