VIDEO: YANGA WATOA MSIMAMO MWINGINE JUU YA MAJI KUTOCHUKUA FOMU - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 24, 2018

VIDEO: YANGA WATOA MSIMAMO MWINGINE JUU YA MAJI KUTOCHUKUA FOMU

HABARI KUU

Mashabiki na wanachama wa yanga wameendelea kushikilia msimamo wao wa kumtambua Mwenyekiyi wao Yusuf Manji licha ya kutochukua fomu za kugombea nafasi hiyo.

Baada ya majina ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti kutangazwa na kamati ya uchaguzi ya TF F huku jina la Manji halipo, Global tv imezungumza na baadhi ya wapenzi na mashabiki wa klabu hiyo juu ya msimamo wao kuhusiana na nafasi hiyo ya uenyekiti amabayo wanachama hawataki kuipigia kura

Yanga wanatarajia kufanya uchaguzi wao tarehe 13 January mwakani kwa mujibu wa kamati ya uchaguzi ya TFF kuziba nafasi zilizoachwa wazi na viongozi baada ya baadhi yao kujihuzuru akiwemo Mwenyekiti Manji.

Hata hivyo wengi wa wanachama wa yanga baado wanaamini kuwa nafasi ya mwenyekiti bado inashikiliwa na yusuph manji kufuatia barua iliosomwa na mwenyekiti wa bodi ya wadhamini wa yanga ikidai manji atarudi klabuni hapo January 15 mwakani.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI