WAZIRI:NI MARUFUKU KUPEANA MIKONO. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 24, 2018

WAZIRI:NI MARUFUKU KUPEANA MIKONO.


Kauli ya waziri wa nchi ofisi ya rais Tawala za mikoa na serekali za mitaa (TAMISEMI) Mh:Suleiman jafo, imezua mfazaiko na Gumzo kubwa kwa wananchi wa maeneo tofauti katika utekelezaji wa kampeni ilizinduliwa na Waziri jafo ya kusalimiana bila ya kupeana mikono, ili kupunguza uwezekano wa kuambukizana maradhi ya mripuko,

Ikumbukwe kuwa waziri jafo ametoa kauli hiyo jijini Dodoma katika kilele cha Maadhimisho ya wiki ya usafi wa mazingira na mkutano wa maafisa Afya wa mkoa, Halmashauri na wadau wa afya na Mazingira Tanzania.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI