SASA NI RASMI, SIMBA KUKIPIGA NA AL MASRY SC TAREHE HII - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 21, 2018

SASA NI RASMI, SIMBA KUKIPIGA NA AL MASRY SC TAREHE HII




Na George Mganga

Baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gendarmarie Nationale FC, katika mchezo wa Kombe la Shirikisho siku ya jana, Simba sasa itacheza na Al Masry SC March 6 2018.

Hatua hiyo inakuja mara baada ya Simba kufikisha jumla ya mabao 5-0 katika Aggregate.



Simba ndiyo itakayokuwa ya kwanza kuwakaribisha Al Masry hapa nchini, mchezo ukipigwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Saalam.

Baada ya mechi hiyo, mchezo wa marudiano utachezwa March 16 2018 katika Uwanja wa Al Masry Club, utakaochezwa nchini Misri.

Masry wanakutana na Simba baada ya kuiondoa Gren Buffaloes kwa jumla ya mabao 5-2.
HABARI KUU

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI