ZESCO SI MCHEZO, YAITWANGA JKU 7-0 NA KUSONGA MBELE LIGI YA MABINGWA AFRIKA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, February 21, 2018

ZESCO SI MCHEZO, YAITWANGA JKU 7-0 NA KUSONGA MBELE LIGI YA MABINGWA AFRIKA




Na George Mganga

Mabingwa wa Ligi Kuu Zambia, Zesco United, leo wameicharaza vilivyo klabu ya JKU kutoka visiwani Zanzibar kwa jumla ya  mabao 7-0 katika Klabu Bingwa Afrika.

Kipigo kimekuja mara baada ya mechi ya awali kwenda suluhu ya 0-0, mechi ikipigwa katika Uwanja wa Amani, huko Zanzibar.

Katika mchezo huo, Zikiru Adams amecheka na nyavu za JKU mara 4, akifunga kipindi cha kwanza mawili na cha pili mawili.


HABARI KUU

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI