GERRARD AISHAURI LIVERPOOL KUMTWAA WANYAMA, CHELSEA NAO KIMYAKIMYA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, February 17, 2018

GERRARD AISHAURI LIVERPOOL KUMTWAA WANYAMA, CHELSEA NAO KIMYAKIMYA

HABARI KUU


Kiungo nyota wa zamani wa Liverpool, Steven Gerrard ameitaka klabu yake hiyo kutafuta kiungo mkabaji “mnyama” ambaye ataisaidia na anaona Mkenya Victor Wanyama anafaa.

Gerrard ambaye kwa sasa ni kocha wa timu ya vijana ya Liverpool, anaamini kikosi chake hicho kinamhitaji Wanyama hasa kwa kuwa kitamkosa Emre Can kwa muda.



Tayari kuna taarifa Liverpool imeanza kulifanyia kazi suala hilo na imeanza kufuatilia nyendo za Wanyama ambaye ni kiungo wa Tottenham.


Hata hivyo, kuna taarifa nyingine hata Chelsea inaonekana inaweza kumtwaa Wanyama kwa kuwa tokea amerejea akitokea katika majeraha, Spurs imekuwa ikimtumia mara chache sana.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI