HAPA MESSI, KULE COUTINHO, SUAREZ FULL KUJIAMINI WANAIMALIZA CHELSEA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, February 17, 2018

HAPA MESSI, KULE COUTINHO, SUAREZ FULL KUJIAMINI WANAIMALIZA CHELSEA

HABARI KUU


Mshambuliaji nyota wa Barcelona, Luis Suarez amesema wako tayari kwa ajili ya mechi zao mbili muhimu.

Amesema mechi ya Eibar kwa kuwa lazima wafanye vizuri nyumbani na kuwa mabingwa lakini wamejiandaa kwa ajili ya Chelsea mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, siku chache zijazo.

Mshambuliaji huyo ambaye anaunda pacha ya watatu kati yake, Lionel Messi na Coutinho, ana imani kubwa kuwa wataitwanga Eibar na baadaye Chelsea kufikia malengo yao.


Katika La Liga, sasa wao ndiyo vinara wa ligi hiyo huku wapinzani wao wakubwa Madrid wakionekana ni choka mbaya.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI