SABABU YA MBABANE, WACHEZAJI SIMBA WAWAPA AHADI VIONGOZI HUKO ESWATINI - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Monday, December 03, 2018

demo-image

SABABU YA MBABANE, WACHEZAJI SIMBA WAWAPA AHADI VIONGOZI HUKO ESWATINI

Responsive Ads Here
HABARI KUU

fde7dc72-fe78-4201-85f1-d016d6b26d35


Wachezaji wa Simba wameuahidi uongozi wa klabu hiyo kwamba watapambana na kuvuka dhidi ya Mbabane Swallows ya eSwatini.

Tayari Simba iko eSwatini na Mtendaji Mkuu wa Simba, Clescentius Magori amesema wachezaji wamewaahidi kufanya vema.

"Wachezaji wa Simba wanajitambua, wanajua umuhimu wa michuano hii na wameahidi kupambana vilivyo kuhakikisha wanashinda mchezo huu," alisema Magori ambaye ameongozana na timu hiyo nchini eSwatini.

Magori ameelezea kuhusiana na maandalizi na kusema kila kitu kinaendelea katika mpangilio ulio bora kabisa na wao wamejiandaa vilivyo.

Katika mechi ya kwanza ya michuano hiyo jijini Dar es Salaam, Simba iliibuka na ushindi wa mabao 4-1 kwenye Uwanja wa Taifa.

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *