Ligi Kuu Uingereza (EPL): Liverpool Konki balaa, Man U yabanwa, Chelsea yalala - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Thursday, December 06, 2018

demo-image

Ligi Kuu Uingereza (EPL): Liverpool Konki balaa, Man U yabanwa, Chelsea yalala

Responsive Ads Here
mane
Jumla ya mechi 6 za ligi kuu ya Uingereza (EPL) zimepigwa wiki hii ambapo majoo wa Anfield Liverpool wakiwa ugenini wamefanikiwa kuitwanga Burnley jumla ya magoli 3-1.Wakati Liverpool ikipata ushindi na kuendelea kuweka rekodi ya kutopoteza mchezo hata mmoja katika ligi msimu huu sawa na Manchester City, Chelsea fc wameambulia kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Wolves. Nao Everton wametoka sare na Newcastle huku Fulham nayo ikiilazimisha sare Leicester City, Manchester United yenyewe nayo imeenda sare ya 2-2 na Arsenal huku Tottenham Hotspur kuipa kichapo cha 3-1 Southampton.

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *