Wanawake changamoto katika mchezo wa Karate Zanziba - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 13, 2018

Wanawake changamoto katika mchezo wa Karate Zanziba

HABARI KUU

Mwenyekiti wa chama cha Karate Zanzibar Abdalla Hussein Rashid ‘Sensei Dula, amesema bado wanakabaliwa na changamoto kubwa ya mahudhurio ya wanawake katika mazoezi ya mchezo huo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo za kimasomo na wengine kuolewa.


Tunaweza kusema kuwa ushiriki wao ni mzuri, lakini, changamoto kubwa kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo za kimasomo na wengine kuolewa baada ya kufikia umri wa kuolewa” alisema.
Sensei Dula amesema upo muamko kwa baadhi ya wanawake kushiriki mchezo wa Karate ingawa hali hiyo inafanya  idadi ya wanawake wanaojiunga na mchezo huo kuwa ndogo.
Sambamba na hilo, aliwataka wanawake kuamka na kufanya mazoezi kwa vile mazoezi pia ni afya ambayo yanasaidia kujikinga na maradhi mbalimbali.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI