Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 21.11.2018: Eriksen, Rashford, De Jong, Kante, Perisic, Rabiot, Hernandez - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 21, 2018

Tetesi za Soka Ulaya Jumatano 21.11.2018: Eriksen, Rashford, De Jong, Kante, Perisic, Rabiot, Hernandez

HABARI KUUFrenkie de Jong
Frenkie de Jong
Manchester City watahitajika kulipa pauni milioni 75 kwa kiungo wa kati wa Ajax, Frenkie de Jong, ambaye pia anatafutwa na Barcelona. Mchezaji huyo wa miaka 21 pia anawinda na meneja wa City Pep Guardiola. (Mirror 

Tokeo la picha la Marcus Rashford,
Marcus Rashford                                                                                                                  

 Real Madrid wanapanga kutumia pauni milioni 90 kumsaini mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, 21, na paunia milioni 40 kwa kiungo wa kati wa Tottenham Christian Eriksen, 26. (Sun)N'Golo Kante
N'Golo Kante

Kiungo wa kati Mfaransa N'Golo Kante, 27, yuko tayari kusaibi mkataba mpya na Chelesea wa thamani ya karibu pauni milioni 300,000 kwa wiki. (Telegraph)
Tokeo la picha la Brahim Diaz
 Brahim Diaz

Real Madrid wanajaribu kumshawishi kiungo wa kati mhispania Brahim Diaz, 19, asiongeze mkataba wake na Manchester City. (AS)
Tokeo la picha la Ivan Perisic Ivan Perisic

Inter Milan wanafikitria ikiwa watamuuza wing'a raia wa Croatia Ivan Perisic, 29, kwenda Manchester United kwa paunia milioni 31. (Sun)
Tokeo la picha la Adrien Rabiot, Adrien Rabiot,

Kiungo wa kati wa Paris St-Germain Adrien Rabiot, 23, ameiambia Barcelona kuwa atajiunga na klabu hiyo msimu ujao. (Mundo Deportivo - in Spanish)Mohamed ElnenyMohamed Elneny

Leicester wanafikiria namna kumsaini kiungo wa kati wa Arsenal raia wa Misri mwenye miaka 26 Mohamed Elneny, ambaye bado hajacheza mechi ya Ligi ya Premier msimu huu. (Leicester Mercury)
Tokeo la picha la Simon Mignolet
 Simon Mignolet

Klabu ya Ufaransa ya Nice inataka kumsaini kipa wa Liverpool mbelgiji Simon Mignolet mwezi Januari lakini mchezaji huyo wa miaka 30 anatarajiwa kubaki Anfield kwa msimu wote. (Liverpool Echo) 
Javier Hernandez
Javier Hernandez
Mshambuliaji wa West Ham Javier Hernandez, 30, anatarajiwa kuondoka mwezi Januari huku timu ya Besiktas ikitarajiwa kumsaini mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United. (Sun)
Tokeo la picha la Zlatan IbrahimovicZlatan Ibrahimovic
Mshambuliaji wa LA Galaxy Zlatan Ibrahimovic, 37, atajiunga na AC Milan mwezi Januari ambapo ataloipwa pauni milioni 1.7 kwa nusu msimu. (La Gazzetta dello Sport - in Italian)
Tokeo la picha la Vicente Iborra,Vicente Iborra, 
Sevilla wanataka kumsaini kiungo wa kati wa Uhispania Vicente Iborra, 30, kutoka Leicester. (COPE - in Spanish)
Nikola VlasicNikola Vlasic

West Bromwich Albion wako kwenye mazungumzo na kiungo wa kati wa miaka 18 Rekeem Harper kuhusu mkataba wa muda mrefu. (Express & Star)
Tokeo la picha la Mbaye Diagne,Mbaye Diagne,

Wolves walifanya mazungumzo na waakilishi na mshambuliaji raia wa Senegal Mbaye Diagne, 27, kuhusu kuhama kutoka klabu ya Uturuki ya Kasimpasa. (ESPN)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI