Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 13.11.2018: Matic, Nasri, Conte, De Bruyne, Dembele, Solari, Alves, Welbeck - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 13, 2018

Tetesi za Soka Ulaya Jumanne 13.11.2018: Matic, Nasri, Conte, De Bruyne, Dembele, Solari, Alves, Welbeck

HABARI KUUJose MourinhoHatua ya meneja wa Manchester United Jose Mourinho kumchagua kiungo wa kati Nemanja Matic,30, imeendelea kuzua maswali miongoni mwa baadhi ya wachezaji wenzake wa kimataifa kutoka Serbia. (Times - subscription required)Tokeo la picha la Samir NasriMpango wa aliyekuwa kiungo wa kati wa Ufaransa Samir Nasri kuhamia West Ham uko mashakani kufuatia hali ya kiafya ya kiungo huyu wa miaka 31. (Daily Mirror)
Santiago Solari anatarajiwa kuteuliwa meneja wa Real Madrid kwa mkataba utakaoendelea hadi mwisho wa msimu ujao. (Marca - in Spanish)
  • 'Mechi za kirafiki' ziliisaidia City - Mourinho
  • Arsenal ina hofu 'kubwa' baada ya Welbeck kuumia
  • Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 12.11.2018Dembele alijiunga na Spurs mwaka 2012)Mousa Dembele                                                                                                                  Kiungo wa kati wa Tottenham na Ubelgiji Mousa Dembele amesafiri nchini Qatar kwa matibabu maalum ya kifundo cha mguu . (Evening Standard)Tokeo la picha la Antonio ConteAntonio Conte                                                                                                                      
  • Aliyekuwa meneja wa Chelsea Antonio Conte anasema atasubiri hadi msimu wa joto kuanza kazi yake mpya . (Rai Sport, via Goal)
  • Uamuzi wa Conte kusubiri inamaanisha Chelsea huenda ikamlipa euro milioni 11 kama fidia - hii ikiwa inajumuisha pesa zote alizokuwa alipwe meneja huyo katika mwaka wa mwisho wa mkataba wake. (Daily Mirror)
  • FA waamua hawamwachi MourinhoAntonio Conte amesema atasubiri hadi msimu wa joto kuanza kazi yake mpya
  • Vilabu vinavyoshiriki ligi ya primia vitaruhusiwa kuwasajili wachezaji 12 wa ulaya katika vikosi vyaovya wachezaji 25 chini ya kanuni mpya ya shirikisho la soka linapojiandaa katika mpango wa Uingereza kujiondoa kutoka Muungano wa Ulayo mchakato naofahamika kama Brexit. (Times)Tokeo la picha la Ben Cottrell
  • Vilabu vya Borussia Dortmund na Marseille vinapania kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal Ben Cottrell, alaiye na umri wa miaka 17.(Sun)
    Beki wa Paris St-Germain Dani Alves,35, amesema amedokeza azma yake ya kucheza ligi ya primia kabla astaafu. (Daily Telegraph)
    • Man Utd yaishangaza Juventus nyumbani
    • Wasiwasi kuhusu De Bruyne Man City
    • Tokeo la picha la Unai EmeryUnai Emery                                                                                                                     
    • Meneja wa Arsenal Unai Emery na wachezaji wake walizungumza na mshambuliaji wa Gunners na England aliyeumia Danny Welbeck katika ujumbe wa video kabla ya mechi yao ya Jumapili dhidi ya Wolves ambapo walitoka sare ya bao 1-1. (Guardian)
    • City Kevin de BruyneCity Kevin de Bruyne                                                                                                      
    •  Kungo wa kati na mshambuliaji hodari wa Manchester City Kevin de Bruyne anatazamiwa kurejea uwanjani mapema kuliko ilivyotarajiwa baada ya kupona goti lake. (Guardian) 
    • Brighton inatarajiwa kukata rufaa ya kupinga kadi nyekundi iliyopewa kiungo wake wa kati Dale Stephen katika mechi ya siku ya siku ya Jumamosi ambapo waliinyuka Cardiff mabao 2-1. (Argus)
    • Tokeo la picha la Michael Reiziger
    • Klabu ya Al-Jazira kutoka Milki ya Kiarabu UAE inapania kumteua Michael Reiziger kama kocha wakeReiziger ambaye alikuwa mlinzi wa zamani wa Ajax, Barcelona na Middlesbrough kwa sasa anasimamia wachezaji wa ziada wa Ajax. (De Telegraaf - in Dutch)
    • Pep GuardiolaPep Guardiola                                                                                                                 
    • Meneja wa Manchester City Pep Guardiola anasema amemkabili mchezaji wa kiungo cha mbele wa timu hiyo Raheem Sterling baada ya ushindi wa 3-1 katika mechi ya derby dhidi ya Manchester United kwasababu ya kujionyesha au kujigamba kwa mchezaji huyo mwenye miaka 23 katika dakika za mwisho za mechi. (Express)Tokeo la picha la Yacine BrahimiYacine Brahimi,                                                                                                    
    • Everton, Newcastle na West Ham zinataka kumsajili mchezaji raia wa Algeria mwenye umri wa miaka 28 Yacine Brahimi, ambaye kandarasi yake na Porto inamalizika msimu ujao wa joto. (Sun)
    • Huenda Manchester City wasipokewe vyema Alhamisi wakati wakurugenzi wakuu wa tim katika ligi kuu England watakapokutana kufuatia tuhuma kuhusu matumizi ya fedha katika klabu hiyo.  (Times - subscription required)
    • Franck RiberyFranck Ribery alijiunga na Bayern Munich mwaka 2007                                              
    • Winga wa Bayern Munich Franck Ribery, mwenye umri wa miaka 35, alijibizana na mwandishi wa Ufaransa baada ya timu yake kufungwa 3-2 na Borussia Dortmund Jumamosi. (Bild, via Mirror)
    • Everton wana wasiwasi kuhusu kujeruhiwa kwa mchezaji wa miaka 29 Gylfi Sigurdsson, aliyeondoka Stamford Bridge akiwa amevaa kiatu cha matibabu baada ya kupigwa chenga na mchezaji wa kiungo cha kati wa Chelsea Jorginho katika mechi iliyomalizika kwa sare kati ya pande hizo mbili. (Sun)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI