GAUCHO ALIWAHI KUFUNGA MABAO 23 PEKE YAKE KWENYE MECHI MOJA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 13, 2018

GAUCHO ALIWAHI KUFUNGA MABAO 23 PEKE YAKE KWENYE MECHI MOJA

HABARI KUU

Ronaldinho Gaucho ambaye ni nyota wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Brazil, alikuwa akisifika kwa uhodari wake wa kuuchezea mpira anavyoutaka. Umaarufu wake ulitokana na kipaji alichokuwa nacho cha kupiga chenga na kufunga mabao kwa ustadi mkubwa.

Unaambiwa kipaji chake hicho kilionekana tangu zamani alipokuwa kijana mdogo akicheza soka huko kwao Brazil.

Unaambiwa wakati akiwa na miaka 13, alifanikiwa kuisaidia timu yake kuibuka na ushindi wa mabao 23-0, huku yeye akifunga mabao yote hayo peke yake.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI