N’Golo Kante amesaini mkataba mpya na Chelsea ambao utakuwa ni wa miaka mitano. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, November 23, 2018

N’Golo Kante amesaini mkataba mpya na Chelsea ambao utakuwa ni wa miaka mitano.

HABARI KUU

N’Golo Kante amesaini mkataba mpya na Chelsea ambao utakuwa ni wa miaka mitano.

Mkataba huo mpya na Chelsea, utamuwezesha Kante kuwa anachopa pauni 290,000 kila wiki.


Hivi karibuni, ilielezwa Kante alizungumza na uongozi wa Chelsea na kuuthibitishia kubaki lakini akaomba alipwe mshahara wa kawaida kabisa.

Kante mwenye umri wa miaka 27, alionekana kuishitua Chelsea baada ya klabu kutoka nchini kwao Ufaransa ya PSG kuonyesha nia ya kumrejesha nchini humo.



Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI