IGP Sirro afanya mabadiliko ya Makamanda, Hassan Nassir aangukia wapi safari hii? - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Wednesday, October 10, 2018

demo-image

IGP Sirro afanya mabadiliko ya Makamanda, Hassan Nassir aangukia wapi safari hii?

Responsive Ads Here
HABARI KUU
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Polisi nchini.
Soma taarifa kamili:
igp-1
Katika mabadiliko hayo Makamanda wengine wa mikoa yote ambao hawajatajwa akiwemo Kamanda wa polisi mkoa wa Kusini Pemba, Kamishna msaidizi Mwandamizi wa polisi (SACP) Hassan Nassir  wataendelea kuhudumu katika mikoa yao kama kawaida.

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *