PBZ Yafuturia Wadau Wao Jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmin Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu Awaasa Wananchi Kumi la Pili la Mwezi Mtufuku wa Ramadhani Kulitumia Vizuri Kumuomba Mwenyenzi Mungu. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Saturday, June 02, 2018

demo-image

PBZ Yafuturia Wadau Wao Jijini Dar es Salaam Mgeni Rasmin Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu Awaasa Wananchi Kumi la Pili la Mwezi Mtufuku wa Ramadhani Kulitumia Vizuri Kumuomba Mwenyenzi Mungu.

Responsive Ads Here
HABARI KUU
Mwanafunzi Abdulazizi Juma akisoma Qur-An wakati wa hafla ya Futari ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Jijini Dar es Salaam iliofanyika katika hoteli ya Serena.. 
IMG_0567
Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Alhad Mussa Salum akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam katika futari ilioandaliwa na PBZ kwa ajili ya kujumuika na Wafanyakazi na Wateja wao, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Serena. 
IMG_0572
Wananchi na Viongozi wa PBZ wakijumuika katika Futari maalum ilioandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujumuika katika futari hiyo iliofanyika katika hoteli ya Serena.   
IMG_0574
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakijumuika na Wateja wao katika Futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao iliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0576
Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar wakijumuika na Wateja wao katika Futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao iliofanyika katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0577
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakijumuika na Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar katika futari iliofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Serena.
IMG_0583
Wananchi wakijumuika katika Futari Maluum ilioandaliwa na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ ) katika hoteli ya Serena kujijipatia futari hiyo.
IMG_0562
IMG_0559
IMG_0580
Wafanyakazi wa PBZ na Wananchi wa Jiji la Dar  es Salaam wakijumuika katika kupata Futari maalum ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 
IMG_0586
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam katika hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0613
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam katika hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0598
Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam katika hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0606
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Suleiman Kaffu akijumuika na Viongozi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Limited katika futari ramin ilioandaliwa na PBZ kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Ndg. Juma Amour Khafidh na kushoto Mkurugenzi Masoko wa PBZ Ndg. Said Ali Mwinyigogo.
IMG_0596
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bi. Kidawa Hamid Saleh akijumuika na Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam katika hafla ya Futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Hoteli ya Serena na kulia Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ Bi. Khadija Shamte Mzee.
IMG_0611
Wafanyakazi wa PBZ wakijumuika na Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam katika futari ilioandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0615

IMG_0622
Mwalimu Elias Ally akitowa neno la shukrani kwa Wananchi waliohudhuria hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0632
Baadhi ya Wananchi na Viongozi waliohudhuria hafla ya futari wakimsikiliza mtowa shukrani kwa Uongozi wa PBZ kwa ushirikiano wao na Wananchi Weteja wa benki hiyo kwa kuwajali kwa hali na mali.  
IMG_0639
Mkurugenzi Benki ya Islamic PBZ Ndg Said Mohammed Said akizungumza wakati wa hafla hiyo ya futari iliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.
IMG_0648
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu akiwa na viongozi PBZ wakifuatilia hutuba ta Mkurugenzi wa PBZ Islamic Bank, kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, Ndg Juma Amour Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Al-had Mussa Salum na kushoto Mkurugenzi Masoko PBZ Ndg. Said Mwinyigogo. 
IMG_0653
Waziri wa TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu akitowa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam wakati wa hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam. 
IMG_0672
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Mhe. Suleiman Jaffu akiwahutubia Wananchi waliohudhuri hafla ya futari ilioandaliwa na PBZ katika ukumbi wa Serena Jijini Dar es Salaam. Ameutaka Uongozi wa PBZ kufungua Tawi zaidi katika mikoa ya Tanzania Bara kwani Wananchi wanataga huduma zao, Amesisitiza kufungua Matawi yao katika Mikoa ya Dodoma, Arusha, Mwanza na Tanga kwani Wananchi wanahitaji huduma zao mikoani.
IMG_0661

IMG_0676

IMG_0682

IMG_0689

IMG_0660

IMG_0699

IMG_0708

IMG_0709

IMG_0717

IMG_0729

IMG_0738

IMG_0740

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *