Maadhimisho ya Siku ya Afya Katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Monday, April 09, 2018

demo-image

Maadhimisho ya Siku ya Afya Katika Kijiji cha Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo.

Responsive Ads Here
HABARI KUUDSC_4767
Waziri wa Afya Zanzibar. Mhe. Hamad Rashid Mohammed akitembelea maonesho ya kuadhimisha Siku ya Afya Duniani yaliofanyika katika Viwanja vya Kituo cha Afya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
DSC_4782
Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed akimsikiliza Meneja Mradi wa Afya na Watoto Bi. Asma Ramadhani akitowa maelezo wakati akitembelea maonesho ya Afya kuadhimisha Siku ya Afya Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Kituo cha Afya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja leo. 
DSC_4791
Afisa wa Kitengo cha Afya Baba Bora, Saleh Juma akitowa maelezo kwa Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Hamad Rashid Mohammed wakati akitembelea maonesho hayo kuadhimisha Siku ya Afya Dunia yalioadhimishwa Kitaifa katika viwanja vya Kituo cha Afya Kijini Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.
DSC_4806

DSC_4829

DSC_4838

DSC_4937

DSC_4929

DSC_4934

DSC_4747

DSC_4760

DSC_4995

DSC_5004

DSC_5012

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *