HALI YA MBONDE YAENDELEA KUIMARIKA, AONGEZA KASI - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Thursday, March 29, 2018

HALI YA MBONDE YAENDELEA KUIMARIKA, AONGEZA KASI

HABARI KUU

Hali ya beki wa kati wa Simba, Salim Mbonde imezidi kuimarika na sasa anaweza kuongeza kasi kidogo.

Mbonde ambaye amekuwa akifanya mazoezi peke yake akitoka majeruhi ameanza kuomngeza kasi kuonyesha hali ya imeimarika.


Beki hiyo aliyejiunga na Simba akitokea Mtibwa Sugar, hajaichezea Simba msimu huu, kutokana na kuandamwa na majeruhi yaliyomuweka nje kwa kipindi chote cha zaidi ya miezi minne.

Mbonde amekuwa akiendelea kujifua kwenye Uwanja wa Boko Veterani wakati Simba ikiendelea na mazoezi.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI