WAPINZANI WA YANGA WAKAMILISHA MAZOEZI DAR, SASA WANASUBIRI KESHO - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, February 09, 2018

WAPINZANI WA YANGA WAKAMILISHA MAZOEZI DAR, SASA WANASUBIRI KESHO

HABARI KUU


 Kikosi cha St Louis kimefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya kuivaa YAnga kesho kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mabingwa hao wa Shelisheli, watakuwa wageni wa Yanga katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kesho.
Kocha wao, Ulrie Mathios ametamba watafanya vizuri dhidi ya wapinzani wao hao.
Kikosi chake kilifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam na kumetua nchini kimyakimya.



Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI