Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna Liberatus Sabas Akiongea na Askari Wilayani Liwale Kabla ya Kwenda Kusimamia Uchaguzi Mdogo wa Mbunge. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 13, 2018

Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna Liberatus Sabas Akiongea na Askari Wilayani Liwale Kabla ya Kwenda Kusimamia Uchaguzi Mdogo wa Mbunge.

HABARI KUU
 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akipokea taarifa ya Askari watakao simamia Uchaguzi Mdogo wa Mbunge utakaofanyika mkoani Lindi wilaya ya Liwale Jimbo la Liwale siku ya kesho Jumamosi tarehe 13.10.2018 kutoka kwa Kamanda wa Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa. 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Lindi Kamishna Msaidizi wa Polisi  ACP Pudensiana Protas Kokuberwa akiongea na Askari Wilaya ya Liwale mkoani humo kabla yakwenda kusimamia Uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018
 Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi

Mkuu wa Operesheni Maalum za Jeshi La Polisi Nchini Naibu Kamishna DCP Liberatus Sabas akiongea na Askari wa Wilaya ya Liwale mkoani Lindi  kabla yakwenda kusimamia uchaguzi mdogo wa Mbunge utakaofanyika kesho Jumamosi Tarehe 13.10.2018
 (Picha na Jeshi la Polisi).

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI