Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, February 25, 2018

Taasisi ya Viwango Zanzibar Yatowa Elimu Kwa Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar.



 Afisa wa Taasisi ya Viwango Zanzibar akitowa Elimu ya Viwango vya Matairi yanayoingizwa kuingizwa Zanzibar na Wafanyabiasha Kwa ajili ya Matumizi ya Magari yakiwa na Viwango vya kimataifa. Mafunzo hayo yamewashirikisha waingizaji wa Matairi na Wafanyabiasha kuweza kukidhi mahitaji ya matumizi ya Matairi hayo kupunguza ajali zinazosababisha na Matairi yanayoingizwa Zanzibar.
 Baadhi ya Wafanyabiasha ya Matairi Zanzibar wakifuatilia mafunzo hayo ya Ubora wa Matairi.







HABARI KUU

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI