SIMBA YAITWANGA GENDAMARIE 1-0 KWA BAO LA OKWI, YAFUZU KWA 5-0 - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, February 20, 2018

SIMBA YAITWANGA GENDAMARIE 1-0 KWA BAO LA OKWI, YAFUZU KWA 5-0

HABARI KUU

Simba imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Gendamarie na kusonga mbele katika michuano ya Kombe la Shirikisho kwa idadi ya mabao 5-0.

Katika mechi ya kwanza kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, Simba ilishinda kwa mabao 4-0.

Bao la leo la Simba lilifungwa na  Emmanuel Okwi, Simba ikiwa imekianza kipindi cha pili kwa kasi kubwa.

Mechi hiyo ilikwenda mapumziko kwa sare ya bila bao huku Gendamarie wakipoteza nafasi moja ya kufunga na Simba wakipoteza tatu ikiwemo ya Okwi aliyekuwa nahodha katika mchezo wa leo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI