WATU WATATU TU, MADRID YATENGA BURUNGUTU LA PAUNI MILIONI 500 - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, January 27, 2018

WATU WATATU TU, MADRID YATENGA BURUNGUTU LA PAUNI MILIONI 500

HABARI KUU



Real Madrid imeanza kukubali kwamba kikosi chake ni dhoofu el hali.

Hivyo intake kujiboresha baada ya kuamua kutenga pauni million 500 kuanza usajili wa kuaminika.

Katika ya wachezaji ambao inawataka, wa kwanza ni Eden Hazard wa Chelsea ambaye imemtengea pauni million 200.

Mshambuliaji Harry Kane, Mwinginereza anayekipiga Tottenham, yeye ametengewa pauni million 200 pia. Huku kipa namba moja wa Manchester United, David de Gea ambaye ametakiwa kwa muda sasa na Madrid, katengewa pauni million 100.

Mabingwa hao wa dunia, mabingwa wa Ulaya pia wamekuwa wakienda mwendo wa kusuasua katika La Liga na unaonekana ni msimu mbaya zaidi chini ya Kocha Zinedine Zidane.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI