SEREKALI KUJENGA VITUO VYA POLISI 65 NCHI NZMA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, November 24, 2018

SEREKALI KUJENGA VITUO VYA POLISI 65 NCHI NZMA

Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mh: Muhandisi Hamad Yussuf Masauni amesema serekali ina mpango wa kujenga vituo vya polisi 65, ikiwa ni juhudi za makusudi za  kukabiliana na matukio pamoja na vitendo vya kihalifu ili kudhibiti usalama wa raia na mali zao katika wilaya mbalimbali nchi nzma.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI