Rais Xi Jinping kufanya ziara katika nchi nne na kuhudhuria mkutano wa kundi la nchi 20 - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, November 28, 2018

Rais Xi Jinping kufanya ziara katika nchi nne na kuhudhuria mkutano wa kundi la nchi 20

Wizara ya mambo ya nje ya China imetangaza kuwa, kutokana na mialiko, rais Xi Jinping wa China atafanya ziara ya kiserikali nchini Hispania, Argentina, Panama na Ureno kuanzia tarehe 27 mwezi huu hadi tarehe 5 mwezi ujao. Katika kipindi cha ziara hiyo, rais Xi Jinping atahudhuria mkutano wa 13 wa kilele wa kundi la nchi 20 utakaofanyika kuanzia tarehe 30 mwezi huu hadi tarehe 1 mwezi ujao mjini Buenos Aires.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI