Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Msimu wa Mwaka 2018/2019 Kati ya Zimamoto na Mafunzo ,Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungano 0-0. - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, November 04, 2018

Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Msimu wa Mwaka 2018/2019 Kati ya Zimamoto na Mafunzo ,Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan. Timu Hizo Zimetoka Sare ya Bila Kufungano 0-0.

HABARI KUU
Wapenzi na Vionfozi wa ZFA wakifuatilia Mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar kati ya Zimamoto na Mafunzo mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar.Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana mchezo uliofanyika saa 8 mchana.
 Mchezaji wa Timu ya Zimamoto na Mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu hizo zimetoka sare ya bila ya kufungana.0-0. 












Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI