MBELGIJI SIMBA AAMUA KUWAWEKA MFUKONI YANGA, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Tuesday, November 20, 2018

MBELGIJI SIMBA AAMUA KUWAWEKA MFUKONI YANGA, HIKI NDICHO ALICHOKISEMA

HABARI KUU

Kocha Mbelgiji wa Simba, amesema hajawahi kuvutiwa na mchezaji yoyote Yanga hivyo hawezi kusajili yoyote ndnai ya timu hiyo. 

Patrick Aussems amesema wakati wa dirisha dogo la usajili hakutakuwa na chaguo lolote kutoka Yanga kama sehemu ya kuimarisha kikosi chake.

Mbelgiji huyo tayari inaelezw ameshaanda ripoti ya wachezaji takribani sita anaowahitaji ili kuisaidia timu kuelekea mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika na Ligi Kuu kwa ujumla.

Moja ya majina yaliyotajwa ni kiungo mwenye ufundi mwingi kutoka Gor Mahia FC, Francis Kahata ambaye amekuwa akihusishwa kwa muda mrefu.

Wakati huo Simba inaendelea kujifua kimazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi ujao dhidi ya Mwadui FC.

Simba inaendelea na tizi hilo bila ya uwepo wa beki wake wa kulia, Shomari Kapombe ambaye amepatwa na majeraha na hivi sasa yupo Afrika Kusini kwa vipimo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI