SOKA: Tabu ipo pale pale: Mbappe, Neymar warejea kuivaa Liverpool - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Wednesday, November 28, 2018

demo-image

SOKA: Tabu ipo pale pale: Mbappe, Neymar warejea kuivaa Liverpool

Responsive Ads Here
neymar-kylian-mbappe-psg-paris-saint-germain-2018-19_1qlh7oydtgbni1g6j0zncfqzfz Inaonekana klabu ya PSG inaelekea kushinda vita ya kuhakikisha nyota wao Kylian Mbappe na Neymar Jr wanakuwa fit kuivaa Liverpool katika mechi ya kundi C ya ligi ya mabingwa Ulaya inayotarajiwa kupigwa leo Jumatano, baada ya wawili hao kufanya mazoezi na wenzao jana. Nyota hao wa kimataifa wa Brazil na Ufaransa walishindwa kumaliza mechi za kirafiki za nchi zao wiki iliyopita baada ya kupata maumivu yaliyopelekea kuzuka kwa hofu kubwa klabuni kwao kuwa labda wangeweza kukosa mechi hiyo muhimu ya UCL. vipimo vya mwisho vilivyofanywa Ijumaa hii vilitoa majibu kuwa Neymar ana asilimia 50 ya kucheza mechi hiyo huku Mbappe yeye akionekana kuwa kamili.

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *