Barcelona na Atletico Madrid kupigwa faini kwa utovu wa nidhamu Hispania - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


nuru+ya+habar

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Tuesday, November 27, 2018

demo-image

Barcelona na Atletico Madrid kupigwa faini kwa utovu wa nidhamu Hispania

Responsive Ads Here
BARCELONA-LALIGA Klabu za Atletico Madrid na Barcelona huenda zikapigwa faini ya Euro 3,000 hadi Euro 6,000 kwa makosa ya utovu wa nidhamu, yaliyojitokeza kwenye mchezo wao wa ligi uliopigwa wikiendi iliyopita. Kamati ya ushindani ya La Liga imesema kwenye mchezo huo uliomalizika kwa klabu hizo kutoka sare ya 1-1.Barcelona walichelewa kuingia uwanjani kipindi cha pili, kwa upande wa Atletico mashabiki wao walianza kurusha chupa uwanjani, baada ya Dembele kufunga goli la kusawazisha dakika za mwisho za mchezo huo.

Post Bottom Ad

HABARI

undefined

Contact Form

Name

Email *

Message *