Mwenyekiti wa Kamati ya TASAF Unguja Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mahmoud Atembelea Kituo Kipya cha Afya Kianga Wilaya ya Magharibi ‘A’ Unguja - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Saturday, October 13, 2018

Mwenyekiti wa Kamati ya TASAF Unguja Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayoub Mahmoud Atembelea Kituo Kipya cha Afya Kianga Wilaya ya Magharibi ‘A’ Unguja

HABARI KUU
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa TASAF Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib akipatiwa maelezo na Mkurugenzi Uratibu shughuli za Serikali Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Khalid Bakar (alievaa suti nyeusi) alipofanya ziara ya kutembelea kituo cha afya Kianga Wilaya ya Magharib ‘A’ Unguja.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya TASAF  Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib akizungumza na Wananchi wa Kianga (hawapo pichani) alipofanya ziara ya kutembelea kituo cha Afya cha Kijiji hicho.
 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kianga wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya TASAF Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud ambae pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharib baada ya kutembelea ujenzi wa kituo chao kipya cha afya.
Muonekano wa Kituo kipya cha Afya cha kijiji cha Kianga Wilaya ya Magharib ‘A’ Unguja ambacho kiko katika hatua za mwisho kumalizika.Picha na Maryam Kidiko – Maelezo Zanzibar.

Na Mwashungi Tahir    - Maelezo.                  12-10-2018.
Mwenyekiti wa kamati  ya Uongozi wa TASSAF Unguja  
Ayoub Mohamed Mahmoud  amesema kumalizika kwa  kituo 
cha afya  Shehia ya Kianga  Wilaya ya Magharib “B” kitatoa 
huduma kwa wananchi wa maeneo ya shehia hiyo na 
majirani.

Akizungumza na wananchi wa shehia ya Kianga  alipokuwa 
akikagua kituo cha afya cha shehia hiyo na kuona jinsi 
kinavyoendelea na ujenzi wa mradi huo amesema ni juhudi 
za wananchi wa shehia ya Kianga wilaya ya Magharib A .

Alisema kituo hicho kitakapomalizika tayari watumishi 
wanaostahiki wataletwa wa kutosha  kwa kutoa huduma kwa 
Shehia citizens for the treatment of 
The goal of overcrowding the discomfort.

"When the station ends, do not worry already 
staff will be available for the work and efficiency 
more to see citizens get the service to 
easily "said the chairman who is also 
Chairman  of the Urban Regional Magharib.

He also said the two Government co-operatives included 
The United Republic of Tanzania and the Government 
of  the Zanzibar Revolution  if it improves Health Centers 
by drawing them closer to the people they live for citizens 
they can benefit from the service in the city and rural areas without 
discomfort.

Nae of the Shehia Foreign Minister Juma Issa Juma said 
they are grateful to get the TASSAF project for them 
 The health facility that will end will benefit 
kwa kupata huduma hii kwa urahisi zaidi.

Alisema wananchi wa Kianga watafaidika kwa asilimia mia 
moja kwani ugonjwa hauna muda maalum lakini kituo kipo 
hapa madaktari watakuwepo tutakuwa wenye kufaidika na 
matunda ya nchi yetu kwa kupitia viongozi wetu wa nchi.

Vile vile sambamba na hayo mwananchi wa shehia hiyo 
Subira Mohamed Jecha  amesema kwa sasa tumo furahani 
wananchi sote hasa  akinamama kwani kutatupunguzia 
masafa marefu ya kufatia huduma hiyo ya Afya  tukiwa na 
watoto au wajawazito kwani huduma hii tunaifata Mwera au 
Kizimbani.
Mwisho.
Imetolewa na idara ya Habari Maelezo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI