Mwenyekiti Kamati ya Uongozi CUF ashikiliwa Polisi - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Friday, July 06, 2018

Mwenyekiti Kamati ya Uongozi CUF ashikiliwa Polisi

HABARI KUU
Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi wa CUF Julius Mtatiro anashikiliwa na Polisi katika kituo Kikuu cha Polisi tangu jana July 5, 2018.
mtatiro
 Juliaus  Mtatiro Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF
Kwa muhibu wa alichoandika Zitto Kabwe katika Twitter yake na Facebook ni kuwa anahisi anatuhumiwa kwa kusambaza ujumbe uliomkashfu Rais Magufuli kupitia Facebook uliosema “Rais kitu gani bwana?”
Nanukuu alichoandika Zitto Kabwe “Juliaus  Mtatiro Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya Chama cha CUF amekamatwa na polisi kwa kosa ambalo halijawekwa wazi Lakini linahusiana na ujumbe wake kwenye mitandao ya kijamii wenye maneno ‘ Rais Kitu gani Bwana ‘. Tutawajuza tupatapo Taarifa zaidi. Mshikamano mkubwa unahitajika kwa Kiongozi mwenzetu”

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI