Matukio katika picha kisiwani Pemba - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, May 27, 2018

Matukio katika picha kisiwani Pemba

HABARI KUU
 MKUU wa Wilaya ya Micheweni Salama Mbarouk Khatib, akiwashajihisha wanawake wezake kuekeza katika vikundi vya ushirika, ili mradi wa TASAF utakapomalizia kuwa na hakiba zao, wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Uongozi Tasaf Pemba, kutembelea shughuli za mpango wa kunusuru kaya masikini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU waziri wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ, Shamata Shaame Khamis akimkabidhi fedha shilingi laki moja na Mia Tisa mmoja ya walengwa wa mpango wa kunusuru kaya masikini shehia ya Mtangani.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Hemed Suleiman Abdalla, kikagua zao la Sun Flowers ambalo limepandwa katika shamba darasa la kaya masikini shehia ya Mjini Ole, wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya Uongozi Tasaf Pemba, kutembelea shughuli za mpango wa kunusuru kaya masikini Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI