LIVERPOOL YAANZA KUANDAMWA NA MSALA, BEKI MMOJA KUIKOSA MADRID KATIKA FAINALI YA UEFA - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Wednesday, May 09, 2018

LIVERPOOL YAANZA KUANDAMWA NA MSALA, BEKI MMOJA KUIKOSA MADRID KATIKA FAINALI YA UEFA

HABARI KUU


Beki wa Liverpool na timu ya Taifa ya England, Joe Gomez, ameondolewa kwenye orodha ya wachezaji watakaoiwakilisha timu yake ya taifa kwenye michuano ya Kombe la Dunia huko Russia.

Taarifa zimeeleza kuwa Gomez aliumia Enka kwenye mchezo wa kirafiki wakati timu yake ya taifa ilipocheza dhidi ya Netherlands mwezi Machi mwaka huu.

JOEL GOMEZ
Gomez alirejea tena dimbani Aprili 21 2018 kuitumikia Liverpool katika mchezo wa ligi dhidi ya West Brom na kucheza tena wiki moja baadaye dhidi ya Stoke City, lakini taarifa kutoka kwa madaktari zinasema bado hajaimarika vizuri.

Majeraha hayo yamesababisha aondolewe kwenye kikosi cha England huku pia ataukosa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya dhidi ya Real Madrid utakaopigwa Mei 26 huko Kiev.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI