Wizara ya Afya wamuaga aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Mhe. Mahmoud Thabiti Kombo - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Monday, April 09, 2018

Wizara ya Afya wamuaga aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Mhe. Mahmoud Thabiti Kombo

HABARI KUU
WAZIRI wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar, Mahmoud Thabiti Kombo akiwashukuru wafanyakazi wa Wizara ya Afya katika chakula cha mchana alichoandaliwa kwaajili ya kumuaga.

WAZIRI wa Afya Zanzibar Hamadi Rashid Muhamed akizungumza katika ghafla ya kumuaga aliekuwa Waziri wa Afya Mahmoud Thabiti Kombo katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.

KATIBU MKUU Wizara ya Afya Zanzibar Asha Abdulla Ali akimkabidhi Zawadi aliekua Waziri wa Wizara hiyo Mahmoud Thabiti Kombo  katika ghafla ya chakula iliofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja Mjini Zanzibar.

NAIBU WAZIRI wa Afya Zanzibar Harusi Said Suleiman akitoa neno la shukurani kwa mashirikiano mazuri walioyapata chini ya uongozi wake. 

WAZIRI wa Afya Zanzibar  Hamadi Rashid Muhamed akiwaongoza Viongozi mbalimbali katika chakula cha kumuaga Waziri wa zamani wa Wizara hiyo.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI