KOCHA ANA IMANI YANGA ITAWANYOOSHA WASHELISHELI NYINGI - NURU YA HABARI TZ

KWA HABARI ZA UHAKIKA ZA KITAIFA NA KIMATAIFA


HABARI MPYA

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Sunday, February 18, 2018

KOCHA ANA IMANI YANGA ITAWANYOOSHA WASHELISHELI NYINGI

HABARI KUU


Kocha Msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa anaamini kikosi chake kitashinda mabao mengi ugenini nchini Shelisheli.

Tayari Yanga iko Shelisheli ikisubiri kuwavaa St Louis katika mechi ya pili baada ya ile ya kwanza kupata ushindi wa bao 1-0.

Nsajigwa amesema: “Walivyocheza hapa itakuwa tofauti na kwao, lazima watafunguka na kutushambulia.

“Kuna mengi yatabadilika, basi tuna uwezo wa kubadilika. Kikubwa sisi tunataka kusonga mbele.”


Yanga imeondoka nchini ikiwa inajiamini kuwa itafanikiwa kusonga mbele katika michuano hiyo ingawa baadhi ya mashabiki wanaonekana kuwa na hofu.

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

HABARI